Kiasi cha Bilion 1.5 Zatengwa kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa

Na Richard Mwamakafu, Mwanza Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amesema katika Bajeti Kuu ya Serikali takriban Shilingi Bilioni 1.5 zimetengwa kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa. Mhe. Bashungwa amesema hayo Juni 14, 2021 Jijini Mwanza katika ziara ya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya kukagua